Saturday, November 3, 2012

VCCT Na Campus Tour Ya Mzumbe University


Weekend Hii Timu Ya Campus Ministry ya VCC ilifunga safari Mpaka Mkoani Morogoro katika Chuo Cha Mzumbe kwa ajili ya Kuhudumu lakini pia kwa ajili ya Publicity Ya Campus Night 11-11-11.

Wanafunzi wa Chuo Cha Mzumbe wameomba Jumla ya Mabasi 10 kwa ajili ya kwenda kuwachuku kwa ajili ya Campus Night ya Mwaka 2011.

Hii imekuwa ni Tour ya Kwanza yenye mafanikio katika Mkoa wa Morogoro, Mungu ameruhusu mwaka huu VCC kupata kibari cha Campus Night.

Campus Night ya Mwaka huu yenye kukusanya Wanafunzi kutoka Kenya, Uganda, Burundi, Tanzania na Wageni kutoka Sweden inatazamiwa kuwa ya namna yake.

Mwaka huu tarehe 11, mwezi wa 11 Mwaka elfu mbili na 11, katika viwanja vya Leaders Club mambo yatakuwa si mambo. Ni event ya namna yake.




Hii ilikuwa ni kwenye Ukumbi wenye Historia katika Chuo cha Mzumbe wenye jina la NAH.



Timu Ya Wadau wa Campus Ministry wakiwa kwenye Extended Fellowship.



Ukumbi Maarufu wa NAH ukiwa umejaa wanafunzi.



Dr. Huruma Nkone akihudumu katika Usiku wa Extended .



Blogger alimnasa Dr. Nkone akikagua wallet yake haikuweza kujulikana mara moja alikuwa akifanya nn.



Mr. Peter ambaye ni Afisa Utawala wa SOS ya Marekani alikuwepo kwenye Road Trip hiyo. SOS ni huduma iliyo Marekani na Sweden ambayo wanakuja kwenye Campus Night na watafunga Stage na Sound From USA.



Campus Ministry Team wakiwa wa Viongozi wa Fellowship Mzumbe. Pro Wear akioneshe Ishara Ya Mwaka huu ya Campus Night. Ukitazama Tshirt za Focus zimekaa kialama hiyo.



Ilikuwa ni kama saa 6 na 18 Usiku Ze Blogger akiwa na Dr. Kilemile mara baada ya Huduma, Papaa akiwa ameshika moja ya Vifaa Vya kazi ya Blog.






It was nice kuwepo tena NAH



Mapacha Wawili wakiwa wamepark kabla ya Kuanza Safari Kutoka Mzumbe back to Dar.



Campus Night Nembo every where.

No comments:

Post a Comment