Sunday, December 15, 2013

UNIVERSITY STUDENTS CHRISTIAN FELLOWSHIP (USCF Mlimani) yakabidhi ripoti ya Mission Sumbawanga

UNIVERSITY STUDENTS CHRISTIAN FELLOWSHIP (USCF Mlimani) yakabidhi ripoti ya Mission Sumbawanga kwa Uongozi wa VCCT Campus Ministry

Sam, Eunice, Paul wakipokea report iyo

Akipokea DVD iyo Mkurugenzi wa Campus Ministry ndugu Samuel Sasali ameshukuru sana Vijana wa USCF Mlimani kwa kazi nzuri sana walioifanya huko Sumbawanga na ameshukuru sana kwa vijana wa USCF Mliman kwa kutambua mchango wa kanisa la VCCT katika kufanya kazi na students' fellowships

Tunamshukuru Mungu kwa kibali cha kutuwezesha kufanya kazi na wanafunzi hawa katika kumtangaza Yesu Kristo.