Moja ya matamasha makubwa yanayochukua nafasi hapa jijini Dar, Christmas Production inaendelea kufana. Tukio hili hufanyika kila tar 26 Disemba 2012, siku moja baada ya siku Mwokozi wetu Yesu Kristo alipozaliwa. Ninapoandika, tukio hili linaendelea na watu wanamsifu na kumwabudu Mungu kwa namna nisiyoweza elezea. Ndani ya nyumba wapo Rivers of Joy International, Glorious Celebration, Upendo Nkone, Upendo Kilahiro, Amani Isayah, Bomby Johnson, Samuel Yonah, President Chavala, Mc Pilipili, CASFETA Dar P & W team.
Mch. Dkt Huruma Nkone, Mchungaji Kiongozi na mbeba maono
Mch Joyce Nkone
 |
Ukumbi umefurika; watu wanamsifu aliyezaliwa
Upendo Nkone
Upendo Kilahiro
MC...Samuel Sasali
Glorious Celebration; wametuabudisha na wao wanaabudu
Upendo Nkone naye anaabudu
MC.. Pilipili na Chris Mauki
Ada, aina ya Upendo Nkone mwingine anayejitokezea
Vijana chipukizi, ROJI junior wa VCCT
Watumishi wa Mungu M Timothy Kyara na mkewe; UK & TANZANIA
Upendo Kilahiro & Mpelo Kapama, Kiongozi wa Muziki na Uimbaji, VCCT
Mc & President Chavala
Bw Hillary Samwel (Kushoto) na Bw Misericodius (kushoto) wakimtukuza Mungu
Ukumbi haukutosha. Na watoto nao hawakubaki nyumbani; walikuwepo.
Naomi Venance; Binti aliyebarikiwa kiuimbaji. Toka UDSM, Mtoto wa VCCT.
Rivers Of Joy International; Wakiongoza umati mkubwa sana wa watu Kumsifu Mungu |