Mwishoni mwa wiki iliyopita team yetu ya SB na Campus Ministry iliyo chini ya kanisa la VCCT linaloongozwa na Dr, Huruma Nkone, ilifanya tour kubwa sana kwa vyuo vya mjini, yaan IFM, CBE, DIT na MNMA.
Tour hii iliambata na presentation ya Nguvu toka kwa Expert wa mambo ya mahusiono hapa Tanzania Mr. Chris Mauki, na alikuwa anazungumza na vijana on How to Build a Strong and Sustainable relationship, Mkutano huu Ulifanyika katika ukumbi wa Azania Front Luther House Basement hall, na kuhudhuriwa na Vijana wanafunzi na wasio wanafunzi zaidi ya 300. watu walikosa siti wakaamua kusimama na wengine kuchungulia kwenye madirisha ya Ukumbi huo
Baada ya talk iyo, Heart to Heart, watu walipata fursa ya kumuuliza Chriss Mauki maswali ya Papo kwa papo na kujibiwa. Baadae vijana walipata fursa ya kupata Juice na Bites na Kupiga picha za Pamoja kwenye red carpet.
LOOK WHAT HAPPENED
 |
Watu walijaa hadi walisimama |
 |
Pst. eunice akiweka Vikombe sawa |
 |
Chriss akipiga Nondoz |
 |
Hon. Renee akiwa bize na Huduma |
 |
Acapela from CBE |
 |
Chriss akichukua Maswali |
|
 |
Jamaa wakaamua kumpokea Yesu |
 |
In his presence |
 |
Holly Spirit alikuwepo asee |
 |
Folen kwenda kwenye Juice hapo |
 |
Networking |
 |
Wadau kwenye Red Carpet |
 |
Organizing Team, CM na IFM Tafes |