Wednesday, January 1, 2014

"GOOD NEWS" VCCT SERVICES AT YOUR CAMPUS

This is real good news for the year 2014. VCCT bring its services at your campus. Rev. Dr. Huruma Nkone through Campus Ministry has appointed the following students "Campus Coordinators" who will work directly with students at their respective Campus as far as VCCT matters are concerned. 

Pastor Nkone Consecrating these new leaders

Prayer

Happy faces of our new leaders


A hand of congratulation to new leaders

Pastor Nkone shaking hands with new leaders

These Coordinators were appointed and officially consecrated special for this assignment. They are VCCT representatives at your Campus, we encourage you to use them for the glory of God.

This is list of Coordinators with their contacts, 


S/N

NAME

PHONE NUMBER


COLLEGE/UNIVERSITY

1
Sosy
0718 551 635
ARDHI
EddaLubinza
0718 940 273
2
Kaombwe
0786 686 675
St. John
3
BenadetaKasesa
0757 916 236
UDSM-Mlimani

4
Peleus Mwijage
0763 506 679
UDSM-Mabibo
5
Benjamin John
0717 561 038
HKMU


MerianMkumbo
0787 184 785
6
Jeff Haran
0785 852 015
CBE


Ana Sylivester
0653 440 074
7
Moses Lumo
0765 309 207
DUCE

8
MazikuSimeoni
0718 598 013
Muhimbili-Chole

9
Reuben Emmanuel
0766 708 450
IFM

Yohana Bando
0755 228 047
10
ElinajaMwanga
0717 759 404
St. Joseph
11
Ezekiel Kuhoga
0713 379 003
DIT
12
JanethSilomba
0717 128 062
KIU
13
AkwelinaFaustin
0712 865 992
TUMAINI

14
ZebidaMaziku
0764 424 656
15
Michael Kichari
0757 129 776
MNMA
16
Silas Qambawayda
0657 925 368
Evin school of management
  17
Sandra steven
0652 244 656
Bagamoyo


HAPPY NEW YEAR 2014


Sunday, December 29, 2013

VCCT KUSUPORT PROJECT YA LIVE AUDIO RECORDNG YA TAFES DAR ES SALAAM REGION CHOIR


Kanisa la VCCT chini ya Mchungaji kiongozi Dr. Huruma Nkone wametoa sadaka ya Upendo “A love Offering” kusuport project ya Live recording ya Audio CD ya Tafes Dar es salaam region Choir.

Mchungaji kiongozi aliwataka washirika wa VCCT kusport huduma hii ya wanafunzi wa Tafes kwa moyo wote kwani wamekuwa wakifanya kazi kubwa sana katika kubadilisha maisha ya vijana wa Vyuo viukuu.

“We are all the products of  Tafes Ministry, even myself I am a product of  Tafes, you can see how Tafes changed the life of young people who are in  our universities” Dr. Huruma Nkone 

Akikabidhi sadaka  iyo ambayo ni Zaidi ya Laki saba (Ths 700,000+) kwa niaba ya Mchungaji Dr. Nkone, Director wa Campus Ministry Mr. Samuel Sasali amesema kanisa la VCCT huwa linajiskia furaha kuwatumikia wanafunzi wa vyuo kupitia Idara yake. Na ametoa wito kwa wanafunzi wa vyuo vikuu kutoacha kutumia opportunity hii ya kipekee.

Tafes Dar es salaam region Choir watafanya Recording hiyo Mwezi January 2014 katika studio za Shekaina Mbezi beach, na wameomba uwasiliane nasi kupitia ofisi ya kanisa la VCCT kama umeguswa na Huduma yao na unataka kuwachangia.

Tafes Choir wakiimba kwenye Ibada

Waimbaji wa Tafes Choir

Tafes Musician

DR. Huruma Nkone, akiongea about Tafes ministry. Behind him ni Tafes Choir


Director Papaa Sam akiongea na Tafes Choir



Director akikabidhi sadaka hiyo kwa Kiongozi wa Choir, Gwamaka wenginee ni Tafes Choir na CM member Chavala na Eunice