Saturday, November 3, 2012

Soul Breakfast ilivyokuwa April, 2012

Leo asubuhi Soul Breakfast Meeting Imefanyika Katika kanisa la VCC, Hii ni Program Mpya kwa ajili ya Wanafunzi waliookoka na wasio Okoka, Soul Breakfast ya Leo imekuwa Njema sana, Rev. Dr. Huruma Nkone aliizindua Program hiyo na Kuwatakia Mwanzo mwema wadau wote wa Soul Breakfast. Mratibu wa Soul Breakfast Prosper Mwakitalima a.k.a Pro Wear alikuwa Msemaji wa Talk One alifundisha kuhusu "Be a Candle In A Relevant Season" na Papaa nikafanya Talk To "The Magic Of Networking".




Wanafunzi walio hudhuria Soul Breakfast ya Leo Pale VCC.



Wadau Mbalimbali waliohudhuria Soul Breakfast pale VCC.




Ndani ya Soul Breakfast leo, Kwa mbaali Mzee wa Pro Wear anakata Shule.



Prosper Mwakitalima Leo asubuhi akiongea "Relevant"





Pro Wear..akiwa amevaa mojawapo ya T-shirt alizo Dizain chini ya "Pro Wear Company"



Josephine akiongea katika Soul Breakfast siku ya Leo.





Deo akiongea leo Katika SB.




Wanafunzi wakipata Breakfast Asubuhi ya Leo.





Dogo Oscar akiimba leo katika SB





T-Shirt ya Prosper ilikuwa ameidizain kwa jina la "Soul Break Fast"





Papaa akiwa kwenye T-shirt Ya Soul Breakfast iliyokuwa dizained na Pro-Wear Company.





Kazi na Dawa.





Papaa akifundisha Leo Katika Soul Breakfast "The Magic Of Networking"





Mzee Mzima Papaa akikata Shule





Tayari Kwa Kazi

No comments:

Post a Comment