Saturday, November 3, 2012

Soul Breakfast Ilivyokuwa January 2012

Kila Jumamosi ya Mwezi kunakuwa na Program ya Wanafunzi ya Soul Breakfast pale katika kanisa la VCC, Jumamosi iliyopita Chris Mauki alikuwa akifundisha namna ya kuwa na mahusiano yenye mafanikio na yanayodumu.



Wanafunzi wa Vyuo na Secondary ndani ya Soul Breakfast







Wanafunzi wakimfatilia Chris Mauki





Ndani Ya Soul Breakfast


Ma Mc wa Event Ya Soul Breakfast Faraja pamoja na Elinaja







Wanafunzi wa MUHAS wakiwa pamoja kwa ajili ya maombi, MUHAS ndo walikuwa Guest Singers.





MUHAS (kutoka Muhimbili wakiongoza Praise and Worship)



Kama Kawa ndani Ya Soul Breakfast



Papaa Ze Blogger ndani ya Soul Breakfast.




Presenter Chris Mauki ndani Ya Soul Breakfast




Wakimfatilia Chris Mauki



Kama Yupo Kama hayupo


Wanafunzi wakimsikiliza Chris Mauki



Tshirt za Soul Breakfast zipo kama kawa



In Da House



Stella Kwa Umakini zaidi




Very Very Makini







Director Of Soul Breakfast Kushoto, Coordinator wa Soul breakfast Kulia



Kwa Umakini Mkubwa ziadi


.

Mdogo Mdogo





Yaani hawa SB inaendelea wao wakapata Picha



Chris Mauki



Presidaa Chavalla ndani ya Soul Breakfast




Kumbe alikuwepo?




Full Umakini



Smiling



Chris Mauki



High-Car






SB



SB





Tambaza High School Wakihudumu



Chris



Mtaalam Chris Mauki

No comments:

Post a Comment