Tuesday, November 13, 2012

Campus Night Mbeya Kutikisha Jiji Ijumaa Hii



Ijumaa Hii Katika Jiji la Mbeya, Raising The Standard Campus Night Inachukua mkondo wake katika Viwanja Vya Chuo Cha TEKU.Kama ilivyo Ada Ya Campus Night Event, Wanafunzi Kutoka Katika Kila Kona Ya Jiji la Mbeya Watakutana Katika usiku Huo Kwa ajili ya Kusifu, Kujifunza na Kuomba Kwa ajili ya Taifa la Tanzania. Campus Night Ya Mbeya Imekutanisa Watu Mbalimbali ambao Watahudumu katika Event Hiyo. Ndani Ya Campus Night atakuwepo.




Dr. Huruma Nkone Kama Mnenaji Katika Topic Ya Spiritual Transformation.
Dr. Mambo ataongelea Academic and Career Challenges
Dr. Norman Sigalla DC wa Mbeya ataongelea The Need Of Leadership In Tanzania
Ms. Rose Mushi ataongelea. The Raising of The Standard Of Ladies in The Campus.





Mr. C. Msigwa ataongelea The Challenges of the Relationship
Kazi Kubwa Ya Usiku Huo Wa Raising Of The Standard Itaongozwa naDr. Elias Nyanda and Papaa Ze Blogger.




Mc Nambari One, Dr. Elias Nyanda.




Mc Nambari 2....Papaa Ze Blogger

Vikundi Mbalimbali Vya Uimbaji Mkoani Mbeya Vitakuwepo Siku Hiyo.Kwenye Comedy

Kind Chavalla Sambamba na Mc Pilipili Watakuwa Ndani Ya Nyumba.

Get Ready Campus Night Singida 23 November, Campus Night Morogoro 30 November.

No comments:

Post a Comment