Tuesday, November 6, 2012

Campus Ministry In Mwanza at SAUT Nyegezi


Mmoja wa Viongozi wa Campus Ministry at VCCT Mr. Samuel Sasali alimaarufu Papaa, wiki iliyopita alikuwa katika Chuo Kikuu Cha St. Augustino Kilicho Maeneo ya Nyegezi Mkoani Mwanza.

Semika hiyo ya Siku 2 iliyokuwa na Title "Life After Campus" Ilifanyika Hapo hapo Chuoni.

Siku Ya Pili Papaa alifundisha katika Chuo Cha SAUT Mwanza katika Mji wa Nyegezi alieleza kuwa baada ya Masomo Ya Chuo Kuna Changamoto za Kijamii zinazowasubiri ambazo zinginezo wamekwisha zianza wakiwa shuleni.


Baadhi Ya Changamoto hizo ni kama ifuatavyo.
1. Changamoto ya Kupata Ajira.
2. Changamoto ya Kutunza Network Ya Marafiki.
3. Changamoto Ya Uhuru (Kujitegemea).
4. Changamoto Ya Kutekeleza Majukumu ya Kifamilia na Binafsi.

5. Changamoto ya Kupata Mwenzi Wa Maisha.


Mbali na Changamoto Hizo pia alieleza zipo Changamoto Za Kiroho na Kitaaluma zinazowakabili mara baada ya kumaliza masomo.

Mbali na Semina hiyo pia siku ya Jumamosi ilitumika kama Siku maalum ya Semina Ya Viongozi waliopo Chuoni hapo ambapo Papaa alifundisha.

 Wadau Ndani Ya Semina
 Twende sawa
 Watu Peopleeee
 Twende Sawa
 Watu Wakidaka Presence
 Usije ukasema ni Peoplez Poweer
 Twende Sawa
 Halleluja
 Huyu dada jana alitoa ushuhuda ambavyo alitupiwa mapepo kutumia Body Spray na Pete lakini Bwana akamfungua baada ya Maombi yaliyodumu kama wiki moja hapo chuoni
Ze Blogger akiaw na Wazeee Wa Vocal... Stay tune on Step Up Jumatano

No comments:

Post a Comment