Kanisa la VCCT chini ya Mchungaji kiongozi Dr. Huruma Nkone
wametoa sadaka ya Upendo “A love Offering” kusuport project ya Live recording
ya Audio CD ya Tafes Dar es salaam region Choir.
Mchungaji kiongozi aliwataka washirika wa VCCT kusport huduma
hii ya wanafunzi wa Tafes kwa moyo wote kwani wamekuwa wakifanya kazi kubwa
sana katika kubadilisha maisha ya vijana wa Vyuo viukuu.
“We are all the products of Tafes Ministry, even myself I am a product of Tafes, you can see how Tafes changed the life
of young people who are in our universities” Dr. Huruma Nkone
Akikabidhi sadaka iyo ambayo ni Zaidi ya Laki saba (Ths 700,000+) kwa niaba ya Mchungaji Dr. Nkone, Director wa Campus Ministry Mr. Samuel Sasali amesema kanisa la VCCT huwa linajiskia furaha kuwatumikia wanafunzi wa vyuo kupitia Idara yake. Na ametoa wito kwa wanafunzi wa vyuo vikuu kutoacha kutumia opportunity hii ya kipekee.
Tafes Dar es salaam region Choir watafanya Recording hiyo Mwezi January 2014 katika studio za Shekaina Mbezi beach, na wameomba uwasiliane nasi kupitia ofisi ya kanisa la VCCT kama umeguswa na Huduma yao na unataka kuwachangia.
 |
Tafes Choir wakiimba kwenye Ibada |
 |
Waimbaji wa Tafes Choir |
 |
Tafes Musician |
 |
DR. Huruma Nkone, akiongea about Tafes ministry. Behind him ni Tafes Choir |
 |
Director Papaa Sam akiongea na Tafes Choir |
 |
Director akikabidhi sadaka hiyo kwa Kiongozi wa Choir, Gwamaka wenginee ni Tafes Choir na CM member Chavala na Eunice |
No comments:
Post a Comment