Saturday, November 29, 2014
Monday, November 24, 2014
Sunday, November 16, 2014
Tuesday, February 4, 2014
"MWAKA WA KAZI" IFM TAFES & TAFES ARDHI WAPEWA SUPPORT KUFANIKISHA MISSION TRIPS ZAO
Katika
kuendeleza hayo wiki hii, kanisa la VCCT lilitoa sadaka maalum ya
Upendo " A love Offering" kwa ajili ya kusoport kazi ya wanafunzi wa
vyuo viwili hapa Dar es salaam ambao wanajiandaa kwenda missions
mwishoni mwa wiki hii.
Vyuo
ambavyo vilinufaika na sadaka iyo ni IFM ambao wenyewe wanakwenda
mission mkoa wa Tanga, Mkinga District, Maramba Village. wakati Ardhi
University wanakwenda Mkoa wa Njombe.
Akikabidhi
sadaka iyo kwa niaba ya Mch. Kiongozi Dr. Huruma Nkone, Mkurugenzi wa
Campus Ministry Mr(Dr.) Samuel Sasali amewataka wanafunzi hao wajisikie
nyumbani, any time they think they need us wasisite kutuona.
Aliwakabidhi sadaka izo pamoja na nguo na vitu mbali mabaloi ambavyo
watakwenda kuwabariki watu wa huko na kuwatakia utumishi mwema.
| IFM praise Team |
| Ardhi team |
| All the best IFM |
| All the best Ardhi university |
Subscribe to:
Posts (Atom)
