Wednesday, December 12, 2012
Sunday, December 2, 2012
DKT HURUMA NKONE NA USCF MLIMANI WAOMBEA TAIFA NA MCHAKATO WA UANDISHI WA KATIBA MPYA KWA MZIGO SANA
Ilikuwa ni siku ya Jumamosi, tar 01 Disemba, kuanzia saa 1
mpaka 3 usiku, Mch. Dkt. Huruma Nkone aliongoza maombi yenye nguvu ya kuombea
mchakato wa upatikanaji wa Katiba mpya na Taifa kwa ujumla. Vijana na wanataaluma
hao wa Chuo Kikuu cha Dar-Es-Salaam chini Umoja wao uitwao University Students
Christian Fellowship(USCF)-MLIMANI chini ya Jeremiah Juma (Mwenyekiti) na
Joshua Shoo(Katibu), walipaza sauti zao na kuombea jambo hilo muhimu sana kwa
mstakabari wa Taifa letu.
Mch. Dkt. Huruma Nkone
Mwenyekiti (Jeremiah Juma)-kushoto na Katibu (Joshua Shoo)
Dkt Huruma Nkone, mpenzi wa wasomi na watu wote wenye nia ya
kuwa wakuu katika Kristo Yesu na aliyeambatana na jeshi la vijana toka Victory
Christian Centre Tabernacle; Samwel Fred , Prosper Mwakitalima, Irene Lyatuu,
Eunice Kahogo na Bw. Gerson Fungo, baada ya kusoma “Zaburi 33:12” alianza kwa
kufafanua kwanini twahitaji kuombea mchakato wa upatikanaji wa Katiba mpya na
Taifa.
Aliyataja mambo kadhaa ya kuombea ikiwamo; 1.Kujiweka wakfu
kwa kutubu ili Bwana ayapokee maombi yetu. 2. Kuombea watu wote wanaotoa maoni;
kama walioandika Biblia walivuviwa wasiandike mawazo yao ila kile Mungu
alitaka, hata Babu wa kijijini anaweza kutoa mawazo mazuri yakulipeleka Taifa
katika njia sahihi. 3. Kuiombea Tume ya ukusanyaji maoni ya wananchi. 4.
Kuombea mchakato mzima usiingiliwe na dosari yeyote; wenye nia zao mbaya washindwe
na kusudi la Bwana litimie. n.k.
| Ukumbi mzima ukamwomba Kristo Yesu ahusike |
Wito kwa wenye nia njema ni kuendelea kuombea mchakato huo ikiwa
ni pamoja kwenda kutoa maoni kupitia njia mbalimbali ambazo tume imetoa
kurahisisha ukusanyaji maoni ili Taifa hili lisiingie katika matatizo kwa matakwa
ya watu wachache. INAWEZEKANA NA BWANA YESU YU PAMOJA NASI.
Mratibu wa maombi (Abigael Nkindwa) akamwita akamsihi Bwana
Mama Mkubwa (Bernadetta Kasase)-kulia
na Mama Mdogo (Beatrice Isaya)-katikati wamezama;
Prosper Mwakitalima; Director wa CAMPUS MINISTRY, VCCT, naye aliitia jina la Mnazareth Yesu
Mwanasheria, Mtumishi wa Mahakama ya Rufaa Tanzania, Irene Lyatuu-kushoto, akamlingana Bwana
Namna hii lazima Bwana asikie kilio cha watumishi wake. Huyu ni Emmanuel Kashishila
Bw Gerson Fungo akashiriki kikamilifu
Bw Gerson Fungo akashiriki kikamilifu
Tuesday, November 20, 2012
Campus Night In Mbeya ni Next Next Level
Katika Weekend hii Big Events za wanafunzi zenye jina La Campus Night zimechukua mkondo wake katika mikoa ya Dodoma na Mbeya.
Blogger akiripoti kutoka Mbeya ameeleza kuwa Campus Night ya Mbeya imevunja Records ya Makusanyiko ya vijana na wanafunzi katika jiji hilo, event hiyo iliyokusanya wanafunzi zaidi ya 7000 ilikuwa na theme ya Raising The Standards.
Mwimbaji wa Injili anayevuma na ambaye ni mwanafunzi wa Chuo Cha Uhasibu mkoani humo Ambwene Mwansongwe ndiye aliyeteka ukumbi kila aliposimama.
Wachekeshaji wanaovuma katika tasnia ya Gospel, King Chavalla na Mc Pilipili walinogesha Campus night yaJiji la Mbeya.
Wanenaji Wakuu Katika Usiku huo Dr. Huruma Nkone, Dr. Kimambo, Ms Rose Mushi na Mr. Msigwa wali Raise Standards za Wanafunzi.
Dr. Huruma Nkone aliyekuwa akifundusha Spiritual Transformation usiku huo alilipuka kinjilisti na kuwaambia wanafunzi 'Usharubalo na Utoz Toz,hautainua kiwango chako cha Kiroho, isipikuwa kwa kumpokea Yesu' akinukuu andiko la kutoka kwenye kitabu cha Yohana ikisema 'Mimi ndimi njia kweli na uzima, mtu haendi kwa Baba Isipokuwa kwa njia ya Mimi"
Dr. Kimambo alifundisha Academic and Career Challenges zinazowakabili wanafunzi.Dr. Kimambo ambaye ni Mwajiriwa wa Serikali yaUingereza nchini Tanzania alieleza 'changamoto za mfumo wa elimu na mahitaji ya soko la ajira ni tatizo linalo wakabili wanafunzi. Tatizo la Soft Skills mbali na ule ujuzi unaopatikana vyuoni ni changamoto pia.Mbali na changamoto hizo maendeleo na matumizi ya technolojia katika mfumo globalization ni changamoto inayowakabili wahitimu wa Elimu Ya Juu.
Mwanadada aliyekuwa msemaji pekee katika Campus night na mdogo wa umri kuliko wasemaji wote Dada Rose Mushi alifundisha RaisingThe Standard Of Ladies In the Campus. Rose Mushi ambaye ni Mchumi kwa taaluma na mwajiriwa wa Kanisa la KKKT Dayosisi ya Mashariki na Pwani. Aliamsha hamasa kubwa ya vijana alipoanza kufundisha kutoka kwenye Kitabu Cha Mwanzo kwenye story ya Yusufu na Mke wa Potifa. Akifundisha Usiku huo Rose Mushi alisema ili kuinua Viwango vya Kiroho Vya Akina dada katika Campus inapaswa kwanza Ujue thamani yako kama Mdada, pili inakupasa kuachana na mambo yote ambayo yanakusababishia kukushikilia kwa mwanaume kama mi kufaulu, kama ni ada, kama ni laptop kama ambavyo Yusufu alimwachia vazi Mke wa Potifa.
Somo la Mahusiano lilifundishwa na Mr. Msigwa Meneja wa tawi la CRDB katika wilaya ya Mbozi. Alieleza uhusiano wowote wa mwanaume na mwanamke hauwezi kuwa mzuri kama wahusika wana uhusiano mbaya na Mungu wao.
Praise and Worship Leaders. Mr and Mrs Matthew Sasali
Event hiyo ilisimamiwa na Dr. Nyanda pamoja na Ze Blogger. Praise Team ilisimamiwa na Pastor Matthew Sasali na Rebecca Sasali
Mrs. Rebecca Sasali akiongoza Praise Team
Wanafunzi Waliotoka Mbele Kumpa Yesu Maisha Yao Zaidi ya wanafuzi 90 walimpa Yesu Maisha yao.
Ndani Ya Uwepo
Watu Wakienda Sawa ndani ya Ukumbi
Full Shangwe Wanafunzi Wa Mbeya
Chezea Nyomi
Respected Event Manager Papaa Ze Blogger ndani ya Ukumbi
Ukumbi Mzima Kidole namba tatuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
Watu Wakimpa Yesu Maisha Yao.
Rose Moshi Kikazi zaidi
Chezea Urefu
Wakienda sawa
Huu Mwili Khaaaa
Pilipili Kikazi Zaidi ndani ya Mbeya
Kikazi Zaidi hapa
Safari Hii akaja na Style ya Sketi aiseeee ilikuwa nouma inaitwa "Usiombe Kusutwa'
Dr. Maboko akizungumza kwenye Campus Night
King Chavallaaaaaaaa akienda sawa ndani ya Campus Night
Dr. Nyanda, Rose Mushi na Papaa Ze Blogger hapo ilikuwa saa 1 Asubuhi baada ya event.
Matukio Katika Picha.
Sehemu Ya Umati Wa watuMrs. Rebecca Sasali akiongoza Praise Team
Wanafunzi Waliotoka Mbele Kumpa Yesu Maisha Yao Zaidi ya wanafuzi 90 walimpa Yesu Maisha yao.
Ndani Ya Uwepo
Watu Wakienda Sawa ndani ya Ukumbi
Full Shangwe Wanafunzi Wa Mbeya
Chezea Nyomi
Respected Event Manager Papaa Ze Blogger ndani ya Ukumbi
Ukumbi Mzima Kidole namba tatuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
Watu Wakimpa Yesu Maisha Yao.
Rose Moshi Kikazi zaidi
Chezea Urefu
Wakienda sawa
Huu Mwili Khaaaa
Pilipili Kikazi Zaidi ndani ya Mbeya
Kikazi Zaidi hapa
Safari Hii akaja na Style ya Sketi aiseeee ilikuwa nouma inaitwa "Usiombe Kusutwa'
Dr. Maboko akizungumza kwenye Campus Night
King Chavallaaaaaaaa akienda sawa ndani ya Campus Night
Jamaa kumbe akivua Kofia ni handsome sanaaaaaaaa
Wednesday, November 14, 2012
Home, Sweet Home! [Devotional]
Dear beloved students wherever you are, greetings in the might name of our Lord Jesus Christ!
I have this devotional for you today: Home, Sweet Home!
1 Thes.2:1-12
I suppose I had many reasons for taking the train home from college so many holidays. I did bring back bags of books and clothes, like most college guys. But the real reason was that nothing felt quite like home. Nothing was quite as comfortable as Mom cooking in the tiny kitchen, etc.
Home was warm, comfortable, a place where I was welcomed and loved even if I was a college man now, and out on my own. Home had a climate all its own.
Paul understood this as well as anyone. He knew that home is the one really effective climate for evangelism and for spiritual growth. So Paul not only brought others the Gospel in word, he created a sense of family by the way he loved every member of the Thessalonian church.
What people need today, perhaps even more than in other times, is that climate of warmth, intimacy, and caring that marks a loving home. The church (fellowship) that provides this climate will be sure to grow. And its members will become mature.
Build your church (fellowship) as birds build nests—one tiny twig of love at a time.

Personal Application
Build your church (fellowship) as birds build nests—one tiny twig of love at a time.
Quotable: We Exist To Provide Love And Care For One Another...
through sharing each other's needs, burdens, and joys through serving each other in a sacrificial way through learning how to love and be loved.
God in His grace, has given us to each other. An integral part of our life as His body is caring for and supporting each other.—From the Mission Statement, Crossroads Community Church.
Yours,
Dr. Huruma Nkone
VCCT Campus Ministry ndani Ya Mabibo Fellowship "Qualities Of a Christian Graduate"
Fellowship Ya Wanafunzi Wa Chuo Kikuu Cha Dar-es-Salaam Wanaoishi Kwenye Campus Ya Mabibo chini ya Fellowship ya MCF siku ya Jana Waliandaa Maalum Kwa ajili ya Semina Ya Kujifunza Tabia/Miyenendo/Sifa za Muhitimu Aliyeokoka apart from "Certificates" Ya Chuo.
Samuel Sasali mmoja wa wadau wa Campus Ministry alifafanua kwa Kina Tabia kadha Wa Kadha Zilizo Chini ya Mwamvuli wa 1. Integrity 2. Commitment 3. Trustworthy 4. Analytic 5. Transparent 6.Sociability etc. Na Mwisho Mwenyekiti wa Fellowship akaongoza Maombi Kwa ajili ya Kutengeneza Mkakati Wa Kuandaa Wakristo Kuchukua nafasi katika maeneo yote yenye Ushawishi Katika Taifa la Tanzania.

Prayer Time Ndani Ya MCF Mabibo...
![]()
Mwenyekiti Akiomba na Keyboardist

Twende Sawa

Prayer Time

Watu wakiliitia Jina la Bwana.

Sasa jeee

Chezea Wewe Uchovu wa Kazini Jumlisha na wakufundisha

Khaa Wanakaa Kijinsia sana hawa Fellowship

Tuesday, November 13, 2012
Subscribe to:
Posts (Atom)