Tuesday, November 6, 2012

Campus Ministry In Mwanza at SAUT Nyegezi


Mmoja wa Viongozi wa Campus Ministry at VCCT Mr. Samuel Sasali alimaarufu Papaa, wiki iliyopita alikuwa katika Chuo Kikuu Cha St. Augustino Kilicho Maeneo ya Nyegezi Mkoani Mwanza.

Semika hiyo ya Siku 2 iliyokuwa na Title "Life After Campus" Ilifanyika Hapo hapo Chuoni.

Siku Ya Pili Papaa alifundisha katika Chuo Cha SAUT Mwanza katika Mji wa Nyegezi alieleza kuwa baada ya Masomo Ya Chuo Kuna Changamoto za Kijamii zinazowasubiri ambazo zinginezo wamekwisha zianza wakiwa shuleni.


Baadhi Ya Changamoto hizo ni kama ifuatavyo.
1. Changamoto ya Kupata Ajira.
2. Changamoto ya Kutunza Network Ya Marafiki.
3. Changamoto Ya Uhuru (Kujitegemea).
4. Changamoto Ya Kutekeleza Majukumu ya Kifamilia na Binafsi.

5. Changamoto ya Kupata Mwenzi Wa Maisha.


Mbali na Changamoto Hizo pia alieleza zipo Changamoto Za Kiroho na Kitaaluma zinazowakabili mara baada ya kumaliza masomo.

Mbali na Semina hiyo pia siku ya Jumamosi ilitumika kama Siku maalum ya Semina Ya Viongozi waliopo Chuoni hapo ambapo Papaa alifundisha.

 Wadau Ndani Ya Semina
 Twende sawa
 Watu Peopleeee
 Twende Sawa
 Watu Wakidaka Presence
 Usije ukasema ni Peoplez Poweer
 Twende Sawa
 Halleluja
 Huyu dada jana alitoa ushuhuda ambavyo alitupiwa mapepo kutumia Body Spray na Pete lakini Bwana akamfungua baada ya Maombi yaliyodumu kama wiki moja hapo chuoni
Ze Blogger akiaw na Wazeee Wa Vocal... Stay tune on Step Up Jumatano

Sunday, November 4, 2012

Launching of our Campus Ministry Blog


Shalom!

I'm grateful to God for giving me this special opportunity to Introduce to you our blog, vcctcampusministry.blogspot.com. For decades Victory Christian Centre Tabernacle (VCCT) (formerly Victory Christian Centre (VCC) ) has been dedicated and committed to Students Ministry. And by the grace of God we have been able to reach out thousands of Students in schools, colleges and Higher Learning Institutions through various programs. We have been conducting campus tours, fellowship visitation, Soul breakfast meeting every month, Intellectuals meeting and the Mega Event of Campus Night every year.

In expanding our ministry, we have seen a need to embrace the Information Technology so as to move with the pace of this dot com generation. Our desire is to see that this blog serves as a one stop centre for information that surrounds students and campus Life at large. The aim is to empower young professionals, equip them with the word of God and cultivate their heart of Love and passion for the Nation. The Blog will serve as a forum for students to share their knowledge across professionals and campuses and build meaningful relations and Network.

Lastly I would like to thank the VCCT Leadership, VCCT Campus ministry team and all the Christian Unions in different campuses for their genuine love and support to our vision.I would love to encourage all the students and young intellectuals to make use of this blog, feel free to register so as you can be updated with information pertaining to our programs, articles and foundational teachings essential for your Spiritual growth.

With all humility,

Rev. Dr. Huruma Nkone.


Saturday, November 3, 2012

Usiku Wa Campus Night Ulikuwa Next Level Mwaka 2011



Campus Night ya Mwaka huu ambayo ilikuwa na changamoto nyingi hatimaye imefanyika Ijumaa iliyopita kaatika viwanja vya Leaders Club na kuhudhuriwa na Umati Mkubwa wa watu katika Event hiyo. Maelfu kwa Maelfu ya Wanafunzi na Vijana walijitokeza katika Usiku huo wa "FOCUS".




Mnenaji Mkuu wa Campus Night Johannes akihudumu katika Mkesha Huo siku Ya Ijumaa.



Johannes akihudumu siku hiyo huku kwa nyuma Dr. Huruma Nkone akiwa anamfatilia.



SOS Festival Band wakifanya kweli



Mass Choir Wakiwa Jukwaani



President Chavalla akiwa na Papaa wakiangalia Move ya Campus Night



Mamaa Atu a.k.a Keziah akiwa na Marcee Paul ndani ya CN.



Wadau wa FOF wakiwa ndani ya Campus Night.



Mass Choir



Mass Choir



Sehemu Ya Umati wa Wanafunzi



Nyomiiii



Full Kwaitoooo



Mc wa Event Ya Campus Night Papaa akiwa kazini

VCCT Na Campus Tour Ya Mzumbe University


Weekend Hii Timu Ya Campus Ministry ya VCC ilifunga safari Mpaka Mkoani Morogoro katika Chuo Cha Mzumbe kwa ajili ya Kuhudumu lakini pia kwa ajili ya Publicity Ya Campus Night 11-11-11.

Wanafunzi wa Chuo Cha Mzumbe wameomba Jumla ya Mabasi 10 kwa ajili ya kwenda kuwachuku kwa ajili ya Campus Night ya Mwaka 2011.

Hii imekuwa ni Tour ya Kwanza yenye mafanikio katika Mkoa wa Morogoro, Mungu ameruhusu mwaka huu VCC kupata kibari cha Campus Night.

Campus Night ya Mwaka huu yenye kukusanya Wanafunzi kutoka Kenya, Uganda, Burundi, Tanzania na Wageni kutoka Sweden inatazamiwa kuwa ya namna yake.

Mwaka huu tarehe 11, mwezi wa 11 Mwaka elfu mbili na 11, katika viwanja vya Leaders Club mambo yatakuwa si mambo. Ni event ya namna yake.




Hii ilikuwa ni kwenye Ukumbi wenye Historia katika Chuo cha Mzumbe wenye jina la NAH.



Timu Ya Wadau wa Campus Ministry wakiwa kwenye Extended Fellowship.



Ukumbi Maarufu wa NAH ukiwa umejaa wanafunzi.



Dr. Huruma Nkone akihudumu katika Usiku wa Extended .



Blogger alimnasa Dr. Nkone akikagua wallet yake haikuweza kujulikana mara moja alikuwa akifanya nn.



Mr. Peter ambaye ni Afisa Utawala wa SOS ya Marekani alikuwepo kwenye Road Trip hiyo. SOS ni huduma iliyo Marekani na Sweden ambayo wanakuja kwenye Campus Night na watafunga Stage na Sound From USA.



Campus Ministry Team wakiwa wa Viongozi wa Fellowship Mzumbe. Pro Wear akioneshe Ishara Ya Mwaka huu ya Campus Night. Ukitazama Tshirt za Focus zimekaa kialama hiyo.



Ilikuwa ni kama saa 6 na 18 Usiku Ze Blogger akiwa na Dr. Kilemile mara baada ya Huduma, Papaa akiwa ameshika moja ya Vifaa Vya kazi ya Blog.






It was nice kuwepo tena NAH



Mapacha Wawili wakiwa wamepark kabla ya Kuanza Safari Kutoka Mzumbe back to Dar.



Campus Night Nembo every where.

VCCT Campus Tour with IFM, CBE and DIT Students at Azania Front





VCCT hufanya Campus Tour kila mwezi katika Vyuo Mbali mbali, Tangu Mwaka 2011 uanze tumeshafanya katika chuo cha Mwl Nyerere kule Kigamboni, Mabibo Fellowship, USCF Main Campus, NIT na jana ili taraehe 28 January, 2011 VCC team ilikuwa Azania Front na wanafunzi wa IFM, CBE and DIT


Senior Pastor Huruma amekuwa akitumia resources za Human Resources yaani washirika. Katika siku ya jana presenters walikuwa ni Papaa na Caroline Sije.




Wanafunzi wakimfatilia Papaa nilipokuwa naongea kuhusu "Life After Campus"






Pastor Huruma Nkone (Kulia) Akimfuatilia Papaa wakati akiongea



Studenundishats wakifuatilia Caroline Sije akifuatilia



Papaa Akikata Shule



The Musicians



Swahiba Prosper aki-moderate kwenye event

Soul Breakfast ilivyokuwa April, 2012

Leo asubuhi Soul Breakfast Meeting Imefanyika Katika kanisa la VCC, Hii ni Program Mpya kwa ajili ya Wanafunzi waliookoka na wasio Okoka, Soul Breakfast ya Leo imekuwa Njema sana, Rev. Dr. Huruma Nkone aliizindua Program hiyo na Kuwatakia Mwanzo mwema wadau wote wa Soul Breakfast. Mratibu wa Soul Breakfast Prosper Mwakitalima a.k.a Pro Wear alikuwa Msemaji wa Talk One alifundisha kuhusu "Be a Candle In A Relevant Season" na Papaa nikafanya Talk To "The Magic Of Networking".




Wanafunzi walio hudhuria Soul Breakfast ya Leo Pale VCC.



Wadau Mbalimbali waliohudhuria Soul Breakfast pale VCC.




Ndani ya Soul Breakfast leo, Kwa mbaali Mzee wa Pro Wear anakata Shule.



Prosper Mwakitalima Leo asubuhi akiongea "Relevant"





Pro Wear..akiwa amevaa mojawapo ya T-shirt alizo Dizain chini ya "Pro Wear Company"



Josephine akiongea katika Soul Breakfast siku ya Leo.





Deo akiongea leo Katika SB.




Wanafunzi wakipata Breakfast Asubuhi ya Leo.





Dogo Oscar akiimba leo katika SB





T-Shirt ya Prosper ilikuwa ameidizain kwa jina la "Soul Break Fast"





Papaa akiwa kwenye T-shirt Ya Soul Breakfast iliyokuwa dizained na Pro-Wear Company.





Kazi na Dawa.





Papaa akifundisha Leo Katika Soul Breakfast "The Magic Of Networking"





Mzee Mzima Papaa akikata Shule





Tayari Kwa Kazi