Saturday, November 29, 2014
Monday, November 24, 2014
Sunday, November 16, 2014
Tuesday, February 4, 2014
"MWAKA WA KAZI" IFM TAFES & TAFES ARDHI WAPEWA SUPPORT KUFANIKISHA MISSION TRIPS ZAO
Katika
kuendeleza hayo wiki hii, kanisa la VCCT lilitoa sadaka maalum ya
Upendo " A love Offering" kwa ajili ya kusoport kazi ya wanafunzi wa
vyuo viwili hapa Dar es salaam ambao wanajiandaa kwenda missions
mwishoni mwa wiki hii.
Vyuo
ambavyo vilinufaika na sadaka iyo ni IFM ambao wenyewe wanakwenda
mission mkoa wa Tanga, Mkinga District, Maramba Village. wakati Ardhi
University wanakwenda Mkoa wa Njombe.
Akikabidhi
sadaka iyo kwa niaba ya Mch. Kiongozi Dr. Huruma Nkone, Mkurugenzi wa
Campus Ministry Mr(Dr.) Samuel Sasali amewataka wanafunzi hao wajisikie
nyumbani, any time they think they need us wasisite kutuona.
Aliwakabidhi sadaka izo pamoja na nguo na vitu mbali mabaloi ambavyo
watakwenda kuwabariki watu wa huko na kuwatakia utumishi mwema.
| IFM praise Team |
| Ardhi team |
| All the best IFM |
| All the best Ardhi university |
Sunday, February 2, 2014
VCCT WACHANGIA SAFARI YA MISSION YA WANAFUNZI WA UDSM
Kanisa la VCCT wiki iliyopita ilichangia kiasi cha zaidi laki 8, kusaidia safari ya kimisheni wa wanafunzi wa UDSM Christian Fellowship,
Akikabidhi sadaka iyo, Mr. Sasali Samuel ambaye ni Director wa Campus Ministry, kwa niaba ya Mch. Dr. Huruma Nkone, alisema " Mioyo yetu ipo kwa ajili ya wanafunzi, na Tutakuwa tayari kuwasidia muda wowote, msiache kuja"
Kabla ya kukabidhi Sadaka iyo, wanafunzi hao walipata Fursa ya kuimba katika Ibada wakati washirika wa VCCT walipoikuwa wakitoa sdaka iyo
Akikabidhi sadaka iyo, Mr. Sasali Samuel ambaye ni Director wa Campus Ministry, kwa niaba ya Mch. Dr. Huruma Nkone, alisema " Mioyo yetu ipo kwa ajili ya wanafunzi, na Tutakuwa tayari kuwasidia muda wowote, msiache kuja"
Kabla ya kukabidhi Sadaka iyo, wanafunzi hao walipata Fursa ya kuimba katika Ibada wakati washirika wa VCCT walipoikuwa wakitoa sdaka iyo
| UDSM choir singing |
| The Choir |
| CM Leadership With UDSM Fellowship leadership |
| Mr. (Dr.) Samuel Sasali akikabidhi sadaka iyo |
Monday, January 27, 2014
SOULBREAKFAST TOUR HOSTED BY IFM TAFES HAIJAWAHI KUTOKEA
Mwishoni mwa wiki iliyopita team yetu ya SB na Campus Ministry iliyo chini ya kanisa la VCCT linaloongozwa na Dr, Huruma Nkone, ilifanya tour kubwa sana kwa vyuo vya mjini, yaan IFM, CBE, DIT na MNMA.
Tour hii iliambata na presentation ya Nguvu toka kwa Expert wa mambo ya mahusiono hapa Tanzania Mr. Chris Mauki, na alikuwa anazungumza na vijana on How to Build a Strong and Sustainable relationship, Mkutano huu Ulifanyika katika ukumbi wa Azania Front Luther House Basement hall, na kuhudhuriwa na Vijana wanafunzi na wasio wanafunzi zaidi ya 300. watu walikosa siti wakaamua kusimama na wengine kuchungulia kwenye madirisha ya Ukumbi huo
Baada ya talk iyo, Heart to Heart, watu walipata fursa ya kumuuliza Chriss Mauki maswali ya Papo kwa papo na kujibiwa. Baadae vijana walipata fursa ya kupata Juice na Bites na Kupiga picha za Pamoja kwenye red carpet.
LOOK WHAT HAPPENED
| Watu walijaa hadi walisimama |
| Pst. eunice akiweka Vikombe sawa |
| Chriss akipiga Nondoz |
| Hon. Renee akiwa bize na Huduma |
| Acapela from CBE |
| Chriss akichukua Maswali |
| Jamaa wakaamua kumpokea Yesu |
| In his presence |
| Holly Spirit alikuwepo asee |
| Folen kwenda kwenye Juice hapo |
| Networking |
| Wadau kwenye Red Carpet |
| Organizing Team, CM na IFM Tafes |
Subscribe to:
Posts (Atom)
